Course offered by Peramiho Institute of Health and Allied Sciences

SN JINA  LA PROGRAMU          MUDA VIGEZO/ SIFA
1 Stashahada (DIPLOMA)
ya Utabibu
MIAKA 3 Muhitimu awe amemaliza kidato cha nne, na awe na ufaulu walau “D” (4) nne katika masomo ya Fizikia, Kemia na Baiolojia. Na somo lingine moja lisilo la dini.
2 Stashahada (DIPLOMA)
Ufamasia
MIAKA 3 Muhitimu awe amemaliza kidato cha nne, na awe na ufaulu walau “D” (4) nne katika masomo ya Kemia na Baiolojia. Na masomo mengine mawili yasiyo ya dini.

Leave a Reply