SN | JINA LA PROGRAMU | MUDA | VIGEZO/ SIFA |
---|---|---|---|
1 | Stashahada (DIPLOMA) ya Utabibu |
MIAKA 3 | Muhitimu awe amemaliza kidato cha nne, na awe na ufaulu walau “D” (4) nne katika masomo ya Fizikia, Kemia na Baiolojia. Na somo lingine moja lisilo la dini. |
2 | Stashahada (DIPLOMA) Ufamasia |
MIAKA 3 | Muhitimu awe amemaliza kidato cha nne, na awe na ufaulu walau “D” (4) nne katika masomo ya Kemia na Baiolojia. Na masomo mengine mawili yasiyo ya dini. |
3 | Stashahada (DIPLOMA) Social Work |
MIAKA 3 |
Muhitimu awe amemaliza kidato cha nne, na awe na ufaulu walau “D” (4) nne katika Masomo yasiyo ya Dini. Muhitimu wa ngazi ya 4 (NTA LEVEL 4) ya Social work, Community health ,Gender and community Development au Advanced certificate of secondary education Examinatin(ACSEE) with at least one principal pass and one subsidiary in principal subjects. |
Admission office
Peramiho institute of health and allied sciences
P.o Box 93 Peramiho , songea Ruvuma -Tanzania
Email. info @pihas.ac.tz
Phone: 0765117145, 0719639588 na 0756184358
Mon – Fri 9:00A.M. – 5:00P.M.
Our goal is to be at the heart of the Academic services industry as education expand across.