Undergraduate Program

Our Courses

TAARIFA KWA UMMA: DIRISHA LA UDAHILI KWA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025. KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA 0765117145, 0719639588 na 0756184358
SN        JINA  LA PROGRAMU                          MUDA            VIGEZO/ SIFA        
1 Stashahada (DIPLOMA)
ya Utabibu
MIAKA 3 Muhitimu awe amemaliza kidato cha nne, na awe na ufaulu walau “D” (4) nne katika masomo ya Fizikia, Kemia na Baiolojia. Na somo lingine moja lisilo la dini.
2 Stashahada (DIPLOMA)
Ufamasia
MIAKA 3 Muhitimu awe amemaliza kidato cha nne, na awe na ufaulu walau “D” (4) nne katika masomo ya Kemia na Baiolojia. Na masomo mengine mawili yasiyo ya dini.

Stashahada ya Utabibu

Stashahada ya Ufamasia

Application Procedure

ADMISSION Contact Info

Admission office
Peramiho institute of health and allied sciences
P.o Box 93 Peramiho , songea Ruvuma -Tanzania
Email. info @pihas.ac.tz
Phone: 0765117145, 0719639588 na 0756184358

Mon – Fri 9:00A.M. – 5:00P.M.

Social Info

Student Resources

Our goal is to be at the heart of the Academic services industry as education expand across.

TAARIFA KWA UMMA: DIRISHA LA UDAHILI KWA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025. KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA 0765117145, 0719639588 na 0756184358