SN | JINA LA PROGRAMU | MUDA | VIGEZO/ SIFA |
---|---|---|---|
1 | Stashahada (DIPLOMA) ya Utabibu |
MIAKA 3 | Muhitimu awe amemaliza kidato cha nne, na awe na ufaulu walau “D” (4) nne katika masomo ya Fizikia, Kemia na Baiolojia. Na somo lingine moja lisilo la dini. |
2 | Stashahada (DIPLOMA) Ufamasia |
MIAKA 3 | Muhitimu awe amemaliza kidato cha nne, na awe na ufaulu walau “D” (4) nne katika masomo ya Kemia na Baiolojia. Na masomo mengine mawili yasiyo ya dini. |